Msaada UDOM: Reg Form na Medical Examination Form za udom ziko sehemu gani.

Joined
May 20, 2013
Posts
71
Reaction score
151
Wakuu msaada wa hizo form nazipataje kwenye website yao, Please mwenye uelewa wa hizo form anisaidie
 
ingia ALIS then ingiza username as form four index number na password as your surname in capital letter then login, ukisha login click other documents then utaona fomu zote hapo.
 
jamani naomba msaada jinsi ya kupata admission letter udom no.yangu s0208/0062/2005 jina langu jenifa hassan nmejarbu nashindwa.
 
jamani naomba msaada jinsi ya kupata admission letter udom no.yangu s0208/0062/2005 jina langu jenifa hassan nmejarbu nashindwa.

soma maelekezo vizur fuata kila hatua ni rahis sana,ukishindwa piga simu namba ziko mtandaoni!!!
 
Jamani mwenye mawasiliano ya UDOM anipe tafadhali nina shida sana kwenye web kasimu kangu kamegoma plz.{fax no ni muhimu zaidi} NISAIDIENI WANA UDOM
 
Ukifungua udom ingia sehem ya Alis click hapo utapata admission letter hapo2 upande wa kushoto juu utaona other document click hapo utapata form 3 medical, registration na fee structure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…