Msaada Udsm Wanatoa Majna Lina Na Second Selecton Zmeshatoka

Msaada Udsm Wanatoa Majna Lina Na Second Selecton Zmeshatoka

PATRICK enogzza

New Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
2
Reaction score
1
Msaada Ndgu Nahtaj Kufahamu Udsm Wanatoa Majina Lini Ya Waliochaguliwa Na Second Selection Zmeshatoka Au Bado Za Chuo Kikuu Msaada Jamani Mpaka Xaxa Xjapata Selection Mxaada Kwa Hlo Jaman
 
Ungeomba msaada wa jinsi ya kuandika kwa ufasaha kama Great thinker, ndio uulize mambo ya UDSM. Tofautisha Jamiiforums na Facebook.
 
Muwe mnafaulu vizuri msisubirie mambo ya second selection, kwa maisha yangu sijawahi kuyasubiria hayo,
 
Hamjui Nlikuwa Kwenye Mood Gani,ila Kikubwa Ni Kunisaidia So Kunizodoa,waungwana Hvyo 2,isiwe Kesi Jamani
 
Back
Top Bottom