stunna
JF-Expert Member
- Nov 7, 2013
- 258
- 147
Jaman mwnye taarifa anijuze maana nimeona wametoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya afya kupitia wizara ya afya kwa ngazi ya cheti na diploma ,naomba kujuzwa ni lini na utaratibu wa kulipoti chuo husika ukoje maana kwny website yao hawajaelezea lini mwanafunzi anatakiwa kuripoti