Msaada ufafanuzi Kodi ya Mapato Yatokanayo na Ajira

Walcotinho

Member
Joined
May 28, 2017
Posts
35
Reaction score
15
Habari familia, kuja jambo linanitatiza,
kwa waliopo kwenye ajira hasa binafsi, Kuna hii Kodi ya mapato inayotokana na mshahara, aisee hii Kodi ni kubwa mno inaumiza Sana, sijajua ndo utaratibu ulipo tangu zamani ama ni mabadiliko yaliyotokea hivi karibuni?

Maana unakuta anayelipwa Gross profit 600,000Tsh Kodi ni 36,000 ila hapo hapo anayelipwa mala mbili ya hiyo laki6 Yani 1,200,000Tsh Kodi ni 188,000TSh, how comes yani hamna uwiano na inaumiza kumbuka hapo hamna makato ya bima Wala NSSF.

Wajuzi wa mambo nawaomba jambo moja tuu, anayejua huu ndo utaratibu wa makato tangu miaka mingi iliyopitaa, ama ni mabadiliko ya hivi karibuni..??? Msaada🙏
 
Pay As You Earn (PAYE).
The more you earn, the more you pay, and vice versa. Its a real pain in the ass, ila ndo hivyo lazima tulipe kodi tujenge nchi.
It has always been that way, labda wewe ndo mgeni kwenye kuajiriwa au ulikua hujajua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…