Msaada/Ufafanuzi kuhusu Kutokwa damu kidogo(spotting) baada ya Kujamiiana.

Passby

New Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
3
Reaction score
1
Hi Guys.
Advice please.
I started my period tarehe 6 Jan-10jan.
Mzunguko wangu ni 28 days, then tarehe17 nikafanya unprotected sex [(with a pull out method,;((big thigh)]
then tarehe 25jan. i did it again(with the same method)..
It was a bit rough coz wote tulikuwa hyper mbayaa! But after that nikaona red spot wakati tunajisafisha,i didn take it serious as i knew may be alinichubua. We didn mind it nikavaa pantliner.
BUT after hrs nimeona Blood spot again and this time ilikuwa nyingi kidogo,na tumbo linauma kama ovulation or mp,ila on and off,on and off!
So kwa anaejua?what is this?can i be pregnant? Haijawahi tokea hii ni first time. Im 27yrs old woman.
PS:
Im married but dont want kids for now.though ikitokea hewala. We dont have any std's.
 
Danger sign nenda hospital ukafanyiwe vipimo. Moja wapo omba ufanyiwe VIA na wacheki other diseases.
Una miaka mingapi? Lakini pengine inaweza kukulazimu uzae, mfano uterine fibroid zinauhusiano na kutozaa. Any way the issue go to hospital a big hospital
 

thank you so much. Im27yrs old.
Haijawahi nitokea,and now haiumi ila like two or three drops.
I was and i am scared,gotta go to the doctor as possible. Ila nlitaka nipate picha halisi ya hapa kwa wanaojua as whats goin on.
 
mmmmh naogopa kwa kwa kuwa hata cervix cancer ina dalili hiyo. nenda ocean road fastaaaaa
 
nenda hosptal mana matatzo mengne hutokea na ufumbuz ni kuwaona madaktar wa mambo ya wanawake
 
nenda hospitali saa nyengine ni early miscarriage au tatizo jengine.mambo ya ku bleed bleed bila mpango maalum ni hatari kwa kweli
 
Nimeipenda hiyo pull out method,wazungu wooote unawamwaga nje,muuwaji wewe[JOKES],teh teh teh,nenda hospitaly mpendwa damu si dalili njema.
 
kama unatumia uzazi wa mpango inaweza kua sababu
ila ni vema kumuona daktari mapema!!
 
Some times huwa inatokea kama hujasex muda mrefu au kama una hofu. Thw best option nenda ocean road hosp wachunguze inaweza kuwa issue ndogo tu. The earlier the better.
 
guys... Thank you so much. Nilienda hospital gyno akanipa sababu kadhaa
kwanza because nlifanya rough so jamaa aligusa pasipogusika na aliniambia hutokea once in a while esp kama sijado frequently,na amenishauri nisubiri mwezi upite nipime mimba.
Cos ilitokea mara moja tuu next day haikutokea na sina maumivu,she gave me painkiller na kaniagiza ninywe cranberry juice ,maji mengi,plus green aples.
Well asanteni in advance mana me kwenda hospital jamani ni mgumu hadi basi! Sijui kwanini sipendi hospitali. Yani namshukuru Mungu nina miaka nikiumwa najitibu kihome home!i dont even remember last time before this!!! LOL..its not funny ila ndo hivyo.
 

jenga tabia ya kuipenda hospitali kwani ndio sehemu inayookoa maisha ya binadamu na pia weka utaratibu wa kufanya check up magonjwa yote at least kwa mwaka mara moja na normal check up kila unapoumwa. Kujitibia wenyewe bila ushauri wa daktari ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…