Msaada ufafanuzi page ya Tanzania government communicator

mangiTz

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2019
Posts
1,820
Reaction score
3,062
Habari wakuu
Kama title inavyojieleza naomba kufahamu hivi page ipo chini ya taasisi ya serikali au ipo chini ya mtu binafsi.

Ni kwasababu mara nyingi nimeona caption zake zinaanza na neno " nime... " Nimefanya hivi n.k

Lakini kuna vingine pia ni kama havihusiani na page au viko kibinafsi. Nauliza tu wadau kama mwananchi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…