Msaada: Ufahamu chuo cha Mipango

phyn78

Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
11
Reaction score
0
Kwa anaefahamu chochote kuhusu chuo cha mipango Dodoma Ada yake, faculty na mazingra anifahamishe
 
Ndio nini umeandika hapo juu? kama kichwa cha habari.
 
anaefaham
mazngra
[h=2]xaiz[/h]ngoja waje wanaoelewa hiyo lugha!
 
Andika vizuri heading yako, toa hizo xais zako, la sivyo watu watapita tu, hapa watu wapo nakini na kila unaloandika.
 
xawa nicheck mida ya 9ty maninja wangu wakiback niwaulixe.
 
Wanaoelewa watajibu kama unaona huelewi we pita 2 kimya kimya
 
Makubwa....
majengo ya chuo yamepakwa rangi, chuoni kuna miti na pia barabara imepita pale afu kipo Dodoma
 
Wanaoelewa watajibu kama unaona huelewi we pita 2 kimya kimya

Sasa mbona umesahihisha? Jifunze kurekebishwa ndiyo kujifunza kwenyewe. "KIBURI SI MAUNGWANA" wahenga walisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…