Inaruhusiwa na wala si nyala za serikaliWandugu kimsingi nataka kujua iwapo ufugaji wa kanga (ambao kwa asili ni ndege pori) unaruhusiwa kisheria. Hii ni muhimu kwa sababu wananchi wengi (na mimi nikiwemo) tunafuga kanga na inawezekana tunafanya hivyo kutokana na kutojua sheria na tunaweza kuwa tunazivunja kwa kuwa na nyara za serikali bila kibali.