Msaada ugonjwa wa macho

Msaada ugonjwa wa macho

Joined
Nov 11, 2015
Posts
43
Reaction score
1
Kwenye kope ya chini ya jicho kuna uvimbe mdogo una tundu ni kama upele flani hivi ambao unawasha nimejaribu kukamua lakini hautoi Kitu.nauliza hii ni nini ? na matibabu yake yanakuwaje ?.
 
Mkuu jicho ni moja ya kiungo sensitive sana..Nenda hospitali..Achana na ushauri wa mitandaoni..
 
Back
Top Bottom