P paschal majune Member Joined Nov 11, 2015 Posts 43 Reaction score 1 Jan 23, 2016 #1 Kwenye kope ya chini ya jicho kuna uvimbe mdogo una tundu ni kama upele flani hivi ambao unawasha nimejaribu kukamua lakini hautoi Kitu.nauliza hii ni nini ? na matibabu yake yanakuwaje ?.
Kwenye kope ya chini ya jicho kuna uvimbe mdogo una tundu ni kama upele flani hivi ambao unawasha nimejaribu kukamua lakini hautoi Kitu.nauliza hii ni nini ? na matibabu yake yanakuwaje ?.
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,828 Reaction score 15,001 Jan 23, 2016 #2 Mkuu jicho ni moja ya kiungo sensitive sana..Nenda hospitali..Achana na ushauri wa mitandaoni..
P paschal majune Member Joined Nov 11, 2015 Posts 43 Reaction score 1 Jan 23, 2016 Thread starter #3 poa.