Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 376
- 127
AsantePole sana. Mimi nimelima Mahindi gobogobo kwa kumwagilia! Jirani yangu kalima tikiti na limemkubali sana! Ngoja nimuulize.
Habari,Huo sio ugonjwa bali ni hali inayosababishwa na umwagiliaji wa maji kupita kiasi hasa wiki mbili kabla ya matunda kukomaa.vingine ni joto au umwagiliaji usio na mpangilio
USHAURI
1.Jitahidi kumwagilia kwa mpangilio yaani Kama ni mara mbili kwa wiki iwe hivyo na tena pasipo kuzidisha maji.
2.uwe unafunika matikiti na nyasi huenda ikapunguza kupasuka Kama kisababishi ni joto.
Mengine watajazia wengine,,ila pole sana kwa madhila hayo