Folk Part II
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 419
- 490
Je, kuna mtu humu au unamjua amewahi kuugua ugonjwa kama huu?
Anisaidie ushauri
Wana jamiiforum natumai muu wazima wa afya na kwa wale ambao imelega kidogo tuendelee kumuomba mungu atusaidie tupone
Ndugu zanguni nimekuwa na maradhi yanayonisumbua kwa muda mrefu sasa ni mwaka wa 6 nimehangaika sana kutafuta kila aina ya tiba itakayoonekana na ninaendelea bila mafanikio
Matatizo yangu makubwa yapo ndani ya uti wa mgongo ambako kunapatikana ugwe mgongo, haya maumivu yamepelekea kujumuishwa kama naumwa mgongo na sehemu ambapo pana tatizo ni kwenye mgongo juu yaani katikati ya scapula (kwenye kifua kwa nyuma ) sehemu ambapo maumivu ndo yanaanzia na hapo ndo chanzo ni pingiri za thoracic ambazo ndo zipo kwenye kifua kwa nyuma (ukiinamisha shingo kuna kamfupa ka uti wa mgongo kanatuna hapo shingoni kuliko twingine twa hapo shingoni ,ukianza kuhesabu apo kushuka chini hadi kamfupa au pingili ya 7 na ya 8 kwenye hizi pingili ndo pana maumivu makali na sehemu maumivu yanapoanzia)
Mwanzo naanza kuumwa nilikuwa na dalili nyingi ingawa zingine zimepungua ila mzizi wa tatizo upo palepale
DALILI HIZO
1. Maumivu makali hapo mgongoni.
2. Ukitaka kufikili maumivu yaongezeka maradufu.
3. Kusoma kitu ili ukielewe maumivu yanaongezeka maradufu.
4. Misuli ya shingo na mabega pamoja na kifuan kukaza ni hatari.
5. Majasho ya usiku hadi nilipolala panalowa.
6. Mwili kukosa nguvu kabisa.
7. Kutumia simu, computer au kuangalia TV shida inaongezeka maradufu.
8. Kufanya kitu chochote cha kutumia akili maumivu yanaongezeka
Ninaposema maumivu yanaongezeka namaanisha haya maumivu yapo muda wote
Ni kilala ndo hatari usingizi sijawahi pata ndugu zangu nikisizia basi ni dakika 5 nshashitushwa na maumivu au vindoto vya ajabu
Je kuna mtu humu au unamjua amewahi kuugua ugonjwa kama huu?
anisaidie ushauri
SOMA PIA HIZI THREAD ZANGU
Thread 'Maumivu ya mgongo sugu wa juu, mabegani na misuli shingo kukaza homa ya uti wa mgongo (Pneumonical Meningitis)' Maumivu ya mgongo sugu wa juu, mabegani na misuli shingo kukaza homa ya uti wa mgongo (Pneumonical Meningitis)
PIA na HII
Thread 'Hichi nini kwenye mwili wangu wataalamu wa X Ray, CT Scan na MRI' Hichi nini kwenye mwili wangu wataalamu wa X Ray, CT Scan na MRI
Nimejiita folk part II kwa sababu yale aliyopitia ndo napitia
Mdau wetu Folk ananiita huko aliko amesumbuliwa na mwisho kupotea dunian amewahi kuanzisha hizi thread
www.jamiiforums.com
Na hii
Thread 'Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)' Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu
Ndugu zangu, Mimi ni kijana wa pekee na wa mwisho katika familia yetu yenye jumla ya watoto sita. Ni familia ya kimaskini ila watoto tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha tunapunguza ukali wa maisha hapa nyumbani kwa kufanya kazi bila kuchoka usiku na mchana ila changamoto kubwa imekuwa...