Watake wasitake hakuna haja ya kulumbana nao ila huo ndio ukweli
Serikali imegoma kuwekeza kwa kuwatuma vijana kusoma nje ingawa na lugha ni changamoto ila inafundishika
Yaani wanakimbilia kununua vifaa wanajenga majengo ila huduma mbovu au hakuna kabisa
Machines zimelala maofisini na hawajui kuzitumia au wanazihujumu kisa hawazielewi