Mkeshahoi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 2,469 Reaction score 284 Jul 3, 2012 #1 Wadau heshima mbele.. Kuna ndugu anahitaji kujenga choo bora pale Hedaru... kaniuliza kuhusu gharama za ujenzi na uwepo wa mafundi wazuri wanaoweza kufanya hiyo kazi.... Nimelileta humu kwa msaaada tafadhali.... mbarikiwe..
Wadau heshima mbele.. Kuna ndugu anahitaji kujenga choo bora pale Hedaru... kaniuliza kuhusu gharama za ujenzi na uwepo wa mafundi wazuri wanaoweza kufanya hiyo kazi.... Nimelileta humu kwa msaaada tafadhali.... mbarikiwe..