Msaada: Ukipigwa X-Ray mara tatu kifuani na kwenye goti inaweza kuathiri nguvu za kiume?

Joined
Oct 19, 2016
Posts
86
Reaction score
35
X ray ukipigwa Mara Tatu kwa mwanamme maeneo ya gotini na kifua uweza kuharibu mbegu za kiume au haina tatizo?watalamu kazi kwenu mnisaidie nijue
 
haina tatizo mi nikiwa mdogo nimepigwa zaidi ya mara4 na nina watoto wengi tu sshvi sijui labda kwa baadae
 
Hakuna majibu ya researcha za X-rays kwa wanaume kuthibitisha kusababisha defets kwa mbegubza kuime ila nachokijua ni kwamba inaweza kusababisha birth defects kwa mtoto aliyeko tumboni na ndo maana haishauriwi kupiga x-rays kama ww ni mjamzito means kwa wakina dada na na kina mama
 
Mi nasikia inapunguzaga miaka mitano ukipigwa mara moja[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…