Asante yote unayouliza yako salama hofu yangu ilikuwa kwenye speech development ila mtoto anasikia vizuri. Je mtoto ananyonya vizuri ziwa la mama?
.Ukuaji wake uko vizuri? Uzito unaongezeka ipasavyo?
. Je ananyonya kwa mda mrefu huku akipumzika mara kwa mara
. Je mtoto anaonyesha dalili zakutokushiba vizuri, na kulia lia
. Je akiwa analia unaona ulimi unachomoza nje?
Kama mtoto anaendelea na ukuaji mzuri haimsumbui ningekushauri umwache hadi afikishe mwaka ndio ukamfanyie marekebisho.
Sababu wakati mwingine hii kitu hujirekebisha yenyewe na mara nyingi haisumbui kwenywe uongeaji wa mtoto.
Iwapo utaamua kumrekebisha kwa sasa, usihofu ni marekebisho madogo sana na hayata sababisha alazwe hospitali ila waweza kwenda na kurudi siku hiyo hiyo na kwa kawaida itachukua mda mfupi kupona na maisha yataendelea.
Ondoa hofu yakusikiliza maneno ya jirani kuwa mtoto atakuwa bubu, mfurahie Mwanao kwa sasa na kumbuka panarekebishika .
mpeleke CCBRT watakusaidia kuna kesi nyingi sana kama hizo wamekutana nazo usipuuze jambo hilo utakuja kumlostisha mtoto kuongeaAsante. Yote unayouliza yako salama hofu yangu ilikuwa kwenye speech development Ila mtoto anasikia vizuri
Asante mkuu ila niko Mwanza ngoja nimpeleke BugandoHuo ni udata, mpeleke wakamkate hako kanyuzi,ataongea fresh tu, nina rafiki yangu nahisi walimpuuzia kumkata utotoni jinsi anavyoongea kumuelewa inahitaji umakin au kumzoea..
Madaktar wakat mwingine usiwaamin sana, mtoto wa kaka yangu alizaliwa na udata, siku ya kwenda kumuona bibi zake waligindua hilo suala, lakin madaktar wakagoma na kusema hana tatizo, ila walimsubiri akafikisha kama wiki 2 hiv wakaenda kukakata, sasa hiv yupo fresh.
Sawa mkuu.Asante mkuu. Ila Niko Mwanza Ngoja nimpeleke Bugando
. Je mtoto ananyonya vizuri ziwa la mama?
.Ukuaji wake uko vizuri? Uzito unaongezeka ipasavyo?
. Je ananyonya kwa mda mrefu huku akipumzika mara kwa mara
. Je mtoto anaonyesha dalili zakutokushiba vizuri, na kulia lia
. Je akiwa analia unaona ulimi unachomoza nje?
Kama mtoto anaendelea na ukuaji mzuri haimsumbui ningekushauri umwache hadi afikishe mwaka ndio ukamfanyie marekebisho.
Sababu wakati mwingine hii kitu hujirekebisha yenyewe na mara nyingi haisumbui kwenywe uongeaji wa mtoto.
Iwapo utaamua kumrekebisha kwa sasa, usihofu ni marekebisho madogo sana na hayata sababisha alazwe hospitali ila waweza kwenda na kurudi siku hiyo hiyo na kwa kawaida itachukua mda mfupi kupona na maisha yataendelea.
Ondoa hofu yakusikiliza maneno ya jirani kuwa mtoto atakuwa bubu, mfurahie Mwanao kwa sasa na kumbuka panarekebishika .
ndio ataongea bila shida,View attachment 722054 Nina mtoto wa kiume ana miezi mitano awali kina mama moja wa mtaani aliniambia ulimi wa mwanao haunyanyuki hivyo akatwe kidogo ili asiwe bubu.
Lakini huyo mama nikampuuzia nikampeleka hospitali wamcheki lakini doctor akasema mtoto hana shina ila akaniambia nirudi akiwa ana miezi mitano maana wakati huo alikuwa na miezi minne.
Leo anamiezi mitano nikamrudisha hospitali na wanasema kweli anatatizo. Je ni kweli atakuja kuongea akikatwa? kama ni bubu mbona anasikia?