hiyo mashine ni ya UK au Pasktan?Kuna jamaa WA iringa alikua nayo anasema ni Safi sana
Hujajibu swali broNdio
Mkuu kuna matapeli ya Kinaijeria wengi mno wanakupa bei nzuri ukituma hela tractor aliji! Kuhusu Ubora Tractor za South Africa zipo Vizuri sana na imara pia.Contact Hawa jamaa wanaaminikaView attachment 1993509
Mkuu katika Massey Ferguson imara na bora ni kama ifuatavyo.Wakuu naomba msaada. Kuna tractor nimeziona kwenye mtandao za Afrika kusini aina ya massey furgerson series mbalimbali. Zinaonekana ziko refurbished, na ni kama mpya. MfanoF 290 inaenda bei ya Rand 150,000.
Naomba msaada kwa mwenye uzoefu, uimara na umadhubuti wa hizi tractor kwani za Pakistani zinaonekana sio nzuri kwa uimara, na used za UK zinaonekana ziko kuukuu sana.
Ila hizi za Afrika zinapendeza sana kwa macho ukiziona. Ni kama mpya kabsa. Msaada please.
Jinsi ya kupata hayo ya SA ikoje. Tupeni watu wa uhakika sio hawa magumashi mitandaoni.Mkuu katika Massey Ferguson imara na bora ni kama ifuatavyo.
Namba 1 ni ya Uingereza
Namba 2 ni ya Afrika Kusini....hii haipishani sana na ya Uingereza
Namba 3...inaweza kuwa ya Pakistani
Hiyo ya South Afrika chukua ikiwa utakuwa umependa bei.
Tunazipataje sasa,bei zao ni nzuri sana nimependa New Holland T75 na MF290 ila naogopa kupigwaMkuu kuna matapeli ya Kinaijeria wengi mno wanakupa bei nzuri ukituma hela tractor aliji! Kuhusu Ubora Tractor za South Africa zipo Vizuri sana na imara pia.
ngoja nikuombee jina la kampuni ya ukweli ambako my Bro aliagiza na lilifika kama alivyoagiza.kisha ntakupa contacts zao uwasiliane nao- matapeli wengi wanatumia Gmail/yahoo emails na pia bank acc wanakupa ya jina la mtu mwishoni na sio Kampuni husika.alafu Website zao mara nyingi zinashia na .com na sio .za(south Africa) .tz .uk .de etc..Tunazipataje sasa,bei zao ni nzuri sana nimependa New Holland T75 na MF290 ila naogopa kupigwa
Hapo utakuwa umetisha sana,nataka mwezi huu usiishe. Swaraj tayari,sasa nataka New Holland au MFngoja nikuombee jina la kampuni ya ukweli ambako my Bro aliagiza na lilifika kama alivyoagiza.kisha ntakupa contacts zao uwasiliane nao- matapeli wengi wanatumia Gmail/yahoo emails na pia bank acc wanakupa ya jina la mtu mwishoni na sio Kampuni husika.alafu Website zao mara nyingi zinashia na .com na sio .za(south Africa) .tz .uk .de etc..
Dar Johanesburg Nauli ya Bus ni laki 3.Via Nakonde Tunduma Border .Tatizo Road act ya South Africa Trector alitakiwi kuendeshwa kwenye highway zao(lazima Ulibebe.So utoweza kwanza Sheria zinazuia pili ni zaidi ya KM 10,000.Atatumia mafuta meli mzima🤣🤣.Kuna Tracks zinazoleta beer toka Sabmiller .lakini garama ni 8M kubeba trekta to Dar.Meli ni Cheap kidogoHivi gharama za kwenda SA siku mbili tatu ni kiasi gani. Kuna mzungu amenipa details za New Holland TT75 4WD imetembea 1000hrs. Mpaka Bongo ni Tzs 20m. Sasa kwa nini nisiifata mwenyewe?
Hahahahahha wanakusuuza chapMkuu kuna matapeli ya Kinaijeria wengi mno wanakupa bei nzuri ukituma hela tractor aliji! Kuhusu Ubora Tractor za South Africa zipo Vizuri sana na imara pia.
Mrejesho kakangoja nikuombee jina la kampuni ya ukweli ambako my Bro aliagiza na lilifika kama alivyoagiza.kisha ntakupa contacts zao uwasiliane nao- matapeli wengi wanatumia Gmail/yahoo emails na pia bank acc wanakupa ya jina la mtu mwishoni na sio Kampuni husika.alafu Website zao mara nyingi zinashia na .com na sio .za(south Africa) .tz .uk .de etc..
Mrejesho kaka
Hivi sijuwi watu mna akili gani...unashindwa nini kuweka hizo picha zake hapa ili tuzijadili unatuletea porojo tu?Wakuu naomba msaada. Kuna tractor nimeziona kwenye mtandao za Afrika kusini aina ya massey furgerson series mbalimbali. Zinaonekana ziko refurbished, na ni kama mpya. MfanoF 290 inaenda bei ya Rand 150,000.
Naomba msaada kwa mwenye uzoefu, uimara na umadhubuti wa hizi tractor kwani za Pakistani zinaonekana sio nzuri kwa uimara, na used za UK zinaonekana ziko kuukuu sana.
Ila hizi za Afrika zinapendeza sana kwa macho ukiziona. Ni kama mpya kabsa. Msaada please.
Halafu urudi unaiendesha au utaipakia kwenye carrier ? Au labda unatoka huku na gari binafsi ya kuibeba hiyo tractor huko ?Hivi gharama za kwenda SA siku mbili tatu ni kiasi gani. Kuna mzungu amenipa details za New Holland TT75 4WD imetembea 1000hrs. Mpaka Bongo ni Tzs 20m. Sasa kwa nini nisiifata mwenyewe?
Carrier mkuu. Dar Mwanza tu siwezi endesha itakuwa SA?Halafu urudi unaiendesha au utaipakia kwenye carrier ? Au labda unatoka huku na gari binafsi ya kuibeba hiyo tractor huko ?