Msaada: Umme wangu umepata vipele nitumie dawa gani?

nyamhu

Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
47
Reaction score
28
Habarini wanajamvi ninahitaji msaada wenu kuna vinyama kama vipele ila sio vipele vimetokea kwenye shina la uume , nilikuwa nataka kujua tatizo nini na tiba yake nini
 
Habarini wanajamvi ninahitaji msaada wenu Kuna vinyama kama vipele ila sio vipele vimetokea kwenye shina la uume , nlikuwa nataka kujua tatizo nini na tiba yake nini ..View attachment 704048
Huo ni ugonjwa wa Visunzua aka Warts nitafute nikupe dawa upate kupona.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…