1. Chukua majani ya maboga yakate vizuri kama unatengeneza mboga ya kula, andaa bamia pia uwe na magadi au jivu kidogo, then chemsha mchanganyo wa hivyo vitu kwa muda wa dakika 10 kwa moto wa wastani.
2. Andaa unga wa dona au wa muhogo kilo moja then tengeneza ugali mgumu ambao ukimaliza kula hakuna haja ya kunawa mikono.
3. Kula hivyo vitu hapo juu (1&2) kila siku kuanzia saa 7-8 mchana mara moja kila siku kwa muda wa siku 7.
Baada ya 7 days leta mrejesho.