Nashukuru kwa encouragement yakosasa ili apone mnakubali tu mnafanyeje..
mama yangu kafanyiwa operation ya kichwa zaidi ya mara moja. ila matokeo hayakuwa mabaya... tena kwenye ubongo kabisa..
sema alifanyiwa india... sasa kama ndio pendekezo la madaktari afanyiwe tu ili apone