Cecil J
JF-Expert Member
- Oct 12, 2023
- 434
- 1,024
Habari wanaJukwaa! Nawapa salamu za Jumapili hii ya tarehe 20/10/2024 ambayo nayo inaanza kuyoyoma taratibu.
Shida iliyonileta ni kupata website nzuri ambayo ina series na movies za Hollywood ambayo ina packages zote hizo kwa Mb chache, nimejaribu kuingia fzmovies ila spidi yake hairidhishi kabisa.
Lengo ni kuipata muvi ya "Finding Forrester" ya mwaka 2000, nimeingia huko goojara, torrent sites kadhaa ila nakutana na hiyo muvi ikiwa na 1.3Gb.