sawa nichek inbox 📥 usiogope hakuna malipo freeHabari wanaJukwaa! Nawapa salamu za Jumapili hii ya tarehe 20/10/2024 ambayo nayo inaanza kuyoyoma taratibu.
Shida iliyonileta ni kupata website nzuri ambayo ina series na movies za Hollywood ambayo ina packages zote hizo kwa Mb chache, nimejaribu kuingia fzmovies ila spidi yake hairidhishi kabisa.
Lengo ni kuipata muvi ya "Finding Forrester" ya mwaka 2000, nimeingia huko goojara, torrent sites kadhaa ila nakutana na hiyo muvi ikiwa na 1.3Gb.
Akikosa hapo aingie nkiriTumia move box mkuu
Ya mwaka gani.. ingia hapa GoojaraNkiri sijaikuta hiyo movie ya "Finding Forrester"
Ni ya mwaka 2000, goojara hii movie ina mb 700 na ushee, shida sio mb ila shida ni mtandao ninaotumia hamna kasi kabisa, nimejaribu ku-download tangu saa 7 mchana wa leo lakini bado sijafika popote, mpaka sasa nime-download 60mb na bado inaniambiwa "8 hours remaining"Ya mwaka gani.. ingia hapa Goojara
MB 700 nadownload kwa dalika chache sanaNi ya mwaka 2000, goojara hii movie ina mb 700 na ushee, shida sio mb ila shida ni mtandao ninaotumia hamna kasi kabisa, nimejaribu ku-download tangu saa 7 mchana wa leo lakini bado sijafika popote, mpaka sasa nime-download 60mb na bado inaniambiwa "8 hours remaining"
Ngoja nidownload hiyo movie, inawezekana ikawa nzuriHabari wanaJukwaa! Nawapa salamu za Jumapili hii ya tarehe 20/10/2024 ambayo nayo inaanza kuyoyoma taratibu.
Shida iliyonileta ni kupata website nzuri ambayo ina series na movies za Hollywood ambayo ina packages zote hizo kwa Mb chache, nimejaribu kuingia fzmovies ila spidi yake hairidhishi kabisa.
Lengo ni kuipata muvi ya "Finding Forrester" ya mwaka 2000, nimeingia huko goojara, torrent sites kadhaa ila nakutana na hiyo muvi ikiwa na 1.3Gb.
ukiona una download mda mrefu especially kwenye torrent hiyo movie ni ya mda sana kutokana na hvo seeders wanakua wachache nichek nikutumie file telegramNi ya mwaka 2000, goojara hii movie ina mb 700 na ushee, shida sio mb ila shida ni mtandao ninaotumia hamna kasi kabisa, nimejaribu ku-download tangu saa 7 mchana wa leo lakini bado sijafika popote, mpaka sasa nime-download 60mb na bado inaniambiwa "8 hours remaining"
Humu uhakika sana na quality inaridhisha.Akikosa hapo aingie nkiri
Daah so poa kumbeNi ya mwaka 2000, goojara hii movie ina mb 700 na ushee, shida sio mb ila shida ni mtandao ninaotumia hamna kasi kabisa, nimejaribu ku-download tangu saa 7 mchana wa leo lakini bado sijafika popote, mpaka sasa nime-download 60mb na bado inaniambiwa "8 hours remaining"
Tumia app ya Movie box
Salute kwako mkuuUmetisha mkuu, kuna movie nilikua naitafuta sana bila mafanikio, nmeingia humo nmekutana nayo chapu tu kwenye Top 10
Habari wanaJukwaa! Nawapa salamu za Jumapili hii ya tarehe 20/10/2024 ambayo nayo inaanza kuyoyoma taratibu.