iyengamuliro
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 819
- 366
Habari wana Jf.Niende moja kwa moja kwenye mada.Mimi ni dereva Bajaji na nimekamatwa kwa kosa la kutembea na copi ya leseni kwani orijino ipo na tajiri.Walipo hitaji orijino nikawasiliana na tajiri na ndani ya saa ikaletwa na bado polisi wanalazimisha nilipe faini ya kutotembea na leseni orijino.Je sheria inasemaje kuhusu jambo hili?.Je ni wapi naweza kupata msaada kama mkuu wa traffic anaungana na traffic wa chini yake nilipe?.
Nauzoefu waio sheria hujui, gari sio uzoefu ndg gari ni sheria katika sheria za barabara hakuna sehemu ya faini kwakutotembea na lesseniNaandika kama dereva mzoefu nikiwa barabarani toka mwaka 1996. Umevunja sheria ya kuendesha chombo cha moto bila leseni,haijalishi copy ya leseni unayo na ni copy ya leseni halali ila dereva yoyote kisheria utumiapo chombo cha moto barabarani unapaswa kua na leseni yenyewe na siyo copy ya leseni.lipa faini haraka sana
Mpigie kabisa simu umpe maelekezo,kuna kosa la kuiba afu ukipelekwa mahakamani useme nilikua namjaribu tu muibiwa ngoja nimrudishie pesa yake afu unaachiwa huluNauzoefu waio sheria hujui, gari sio uzoefu ndg gari ni sheria katika sheria za barabara hakuna sehemu ya faini kwakutotembea na lesseni
Mleta mada unatakiwa uipeleke original, kama wanadai faini fuata sheria iyo iyo kataa kusaini faini uende kituo husika au ukalalamike kuwa huwezi toa faini kwakua huna kosa.
Wakigoma kama alivosema jamaa hapo waambie nipelekeni mahakamani.
Wengi humu wanaendesha gari kwa mazoea na polisi wanajua hilo.
mkuu hauko sahihi masaa 72 yanaruhusiwa kisheria hivyo kama alikuwa ndani ya huo muda asilipe ila nje ya muda huo faini inamhusu.Mpigie kabisa simu umpe maelekezo,kuna kosa la kuiba afu ukipelekwa mahakamani useme nilikua namjaribu tu muibiwa ngoja nimrudishie pesa yake afu unaachiwa hulu
MvnmmmmmbMpigie kabisa simu umpe maelekezo,kuna kosa la kuiba afu ukipelekwa mahakamani useme nilikua namjaribu tu muibiwa ngoja nimrudishie pesa yake afu unaachiwa hulu
mkuu hauko sahihi masaa 72 yanaruhusiwa kisheria hivyo kama alikuwa ndani ya huo muda asilipe ila nje ya muda huo faini inamhusu.