Cecil J
JF-Expert Member
- Oct 12, 2023
- 434
- 1,024
Ninashusha windo kwenye PC, nimekutana na machagulio hayo matatu. Nichague kipi ili niweze ku-activate Windows kwa kutumia Kmspico?
Nilishusha windows dakika chache zilizopita kwa kutumia Windows 10 DLA ikawa kila nikitaka kufungua MS Word au MS Excell zinafungukia kwenye Microsoft Edge na kunitaka niweke outlook account.