Msaada unahitajika

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,391
Reaction score
1,347
Aliewahi kununua plots kutoka kwenye makampuni, zile ambazo unaanza na asilimia kidogo kidogo nyingine unamalzia kwa miezi kadhaa.

Vitu gani vinatakiwa, unatakiwa ufanye nini, tofauti na watu wa kampuni, unatakiwa umuone nani na nani, kiwanja kinatakiwa kiwe na nini, na vitu gani unatakiwa uhakiki ili usije kutapeliwa..

Naomba msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…