Habari wote.
Nawaombeni msaada wa kimawazo matatizo yangu ni kama ifuatavyo
1.Mwaka 2007 mwezi wa sita nlianza kupata maumivu kwenye mifupa ya miguu(ugoko) wakati nikiwa nafanya mazoezi ya kawaida ,kukimbia , kikapu. Sikujua ni nini tatizo maana ilikua inauma kama inavuta na baada ya mazoezi nlikua saa nyingine natembea kwa tabu sana,na hiyo ilikua inazidi pindi nnapofanya mazoezi ya nguvu,lakini nikiwa nmekaa ilikua inapungua.
2.Ghafla maumivu yalihamia sehem za chini ya kitovu,wakati huo na miguu ika inauma pia.
3.Nilienda dispensary(not hospital) na kupima mkojo nikaambiwa nna uti(mkojo mchafu),nilishangaa kidogo maana huwa nasikia uti mostly ni kwa watoto na wanawake sasa iweje niwe nna uti.Nlipima pia na vdrl ila sikukuta kitu.
4.Nilitumia dawa ingawa uti ilijirudia rudia ila baadae iliisha,lakini miguu ikaanza kuwa ya moto(burning sensation),mgongo ukaanza kuuma,namaumivu ya chini ya chini ya kitovu nayo yakazidi,na mwili ukawa unachoka sana
5.Nliamua kupima vipimo vingi sana maana sikuona nafuu,nlifanya barium enema (wataalam mtakijua hichi) ambapo ni kipimo cha utumbo kama uko poa,nikapima vdrl,nikapima na hiv, choo , mkojo,x-ray ya mgongo,ultra sound, prostate.
6.Uti haikuwepo,utumbo kidogo ulikua na shaka maana kuna sehe x ray ilionyesha kivuli, mgongo nao walisema kidogo hauko vizuri ni kama haujakaa straight, na doctor mwingine baada ya ultra sound alisema nna kidney stone ndogo, na mwingine akasema nina clear small cyst kwenye prostate ingawa alisema haiwezi kuwa chanzo cha mataizo.
7.Nimetumia dawa nyingi sana nilizoandikiwa kwa ajili ya hizo problem tangu 2007,na nimekuwa nafanya mazoezi mengi kuwa huenda itanisaidia maumivu ya mgongo piabila mafanikio.
8.Na hiyo yote ni kuanzia 2007 mpaka leo sijapata nafuu ya aina yoyote
9.Kwa sasa kila ninapotembea miguu yote inakuwa kama inawaka moto,na inauma as well,nna maumivu makali ya chini ya kitovu,na pia nikijamba huwa harufu haijakaa sawa kabisa,maumivu huzidi kama nikivuta sigara na kunywa pombe , nikifanya mapenzi ,au kama nasikia haja kubwa ,.Mwili nao unakuwa weak sana at some point,na huwa pia nnapata kizunguzungu at some point.Please assist in this as ninakosa raha sana .
Thanks in advance