macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Wana JF naomba mwenye kujua.
Je, kuna uwezekano wa ''kuifungua'' iphone ambayo inayohitaji activation lock?
Jamaa amesahau Apple ID yake na password kwani hajatumia simu kwa muda mrefu sana.
Amejaribu kui-reset ikiwa kwenye recovery mode akafanikiwa, lakini wakati wa setup ikakwama kwenye activation lock.
Amekwama hapa: