macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hapo ni kukumbuka tu bwashee hakuna namnaWana JF naomba mwenye kujua. Je kuna uwezekano wa ''kuifungua'' iphone ambayo inayohitaji activation lock? Jamaa amesahau Apple ID yake na password kwani hajatumia simu kwa muda mrefu sana. Amejaribu kui-reset ikiwa kwenye recovery mode akafanikiwa, lakini wakati wa setup ikakwama kwenye activation lock. Amekwama hapa:
View attachment 2174433
Wana JF naomba mwenye kujua.
Je, kuna uwezekano wa ''kuifungua'' iphone ambayo inayohitaji activation lock?
Jamaa amesahau Apple ID yake na password kwani hajatumia simu kwa muda mrefu sana.
Amejaribu kui-reset ikiwa kwenye recovery mode akafanikiwa, lakini wakati wa setup ikakwama kwenye activation lock.
Amekwama hapa:
View attachment 2174433
Ni yake kihalali kabisa. Ila yeye mambo ya user ID alifanya kufunguliwa tu na hayajui kabisa. Aliinunua second hand na kuomba kusetiwa na fundi wa mtaani. Kwa hiyo details zake hana na yule aliyeseti hawajuani.Hesabu hasara. Kama ya kuchukulia mkononi ndo imetoka hiyo otherwise contact Apple support kama ni yako. Kwnye picha hiyo umepewa mpaka hint ya email ya Apple ID, maana yake ni kwamba mpaka ameshindwa kukumbuka hiyo email, simu siyo yake. Mtu mwenye iPhone hawezi kuiweke eti imekaa tu haitumii. Hiyo hoja ni dhaifu na haiwezi kukubalika kirahisi hivyo.
iPhone siyo Infinix ndo tatizo.
shida ya iphone ndo hapo kwenye security akuna njia mbadala.Ni yake kihalali kabisa. Ila yeye mambo ya user ID alifanya kufunguliwa tu na hayajui kabisa. Aliinunua second hand na kuomba kusetiwa na fundi wa mtaani. Kwa hiyo details zake hana na yule aliyeseti hawajuani.
Hii ni shida nzuri kwa sababu inafanya wezi wasifaidi matunda ya watu wema kwa 100%. Sana sana wanabaki kuifumua na kuuza spare parts. Ila sasa kwa watu waliosahau kiukweli hii ni hasara.shida ya iphone ndo hapo kwenye security akuna njia mbadala.
Wana JF naomba mwenye kujua.
Je, kuna uwezekano wa ''kuifungua'' iphone ambayo inayohitaji activation lock?
Jamaa amesahau Apple ID yake na password kwani hajatumia simu kwa muda mrefu sana.
Amejaribu kui-reset ikiwa kwenye recovery mode akafanikiwa, lakini wakati wa setup ikakwama kwenye activation lock.
Amekwama hapa:
View attachment 2174433
Kuna software, kwenye Internet zinaweza kuondoa hiyo lock ila tatizo ni kuwa ukishafaitumia ''call funtion'' inakuwa haifanyi kazi. Pia inabidi u jail break simu yako kwanza.Hesabu hasara. Kama ya kuchukulia mkononi ndo imetoka hiyo otherwise contact Apple support kama ni yako. Kwnye picha hiyo umepewa mpaka hint ya email ya Apple ID, maana yake ni kwamba mpaka ameshindwa kukumbuka hiyo email, simu siyo yake. Mtu mwenye iPhone hawezi kuiweke eti imekaa tu haitumii. Hiyo hoja ni dhaifu na haiwezi kukubalika kirahisi hivyo.
iPhone siyo Infinix ndo tatizo.
Hiyo ya wataalam wabobezi ndiyo wengi wanasema hilo haliwekeni. Jamaa alinunua akasaidiwa ku-creat ID na fundi wa mtaani. Yeye hajui kabisa hata mambo ya email.Ina toka ila kama ni yako.kuna policy ulishindwa kufikia kukubali.
contact na apple support na simu ilipo nunuliwa na kama
ilikuwa na sababu itakwambia.
kama unataka shortcut ya haraka tafuta wataalmu wabobezi wanao dili na system za apple service zote kama network lock,icloud,MDM na account
FBI walishindwa kufungua lock ya iphone ndio itakua wewe mmatumbi kutoka chato?Wana JF naomba mwenye kujua.
Je, kuna uwezekano wa ''kuifungua'' iphone ambayo inayohitaji activation lock?
Jamaa amesahau Apple ID yake na password kwani hajatumia simu kwa muda mrefu sana.
Amejaribu kui-reset ikiwa kwenye recovery mode akafanikiwa, lakini wakati wa setup ikakwama kwenye activation lock.
Amekwama hapa:
View attachment 2174433
Hiyo ya wataalam wabobezi ndiyo wengi wanasema hilo haliwekeni. Jamaa alinunua akasaidiwa ku-creat ID na fundi wa mtaani. Yeye hajui kabisa hata mambo ya email.
Mkuu acha janja janja.Hiyo ya wataalam wabobezi ndiyo wengi wanasema hilo haliwekeni. Jamaa alinunua akasaidiwa ku-creat ID na fundi wa mtaani. Yeye hajui kabisa hata mambo ya email.
Kama upo Dar waone Elite computers wapo Pale Moroco nyuma ya yake majengo mapya ya NHC wataweza kukusaidiaHiyo ya wataalam wabobezi ndiyo wengi wanasema hilo haliwekeni. Jamaa alinunua akasaidiwa ku-creat ID na fundi wa mtaani. Yeye hajui kabisa hata mambo ya email.
Aisee!Kama upo Dar waone Elite computers wapo Pale Moroco nyuma ya yake majengo mapya ya NHC wataweza kukusaidia
Kesi kama hioElite computers hawafanyi ndugu.Kama upo Dar waone Elite computers wapo Pale Moroco nyuma ya yake majengo mapya ya NHC wataweza kukusaidia