Msaada unatakiwa ASAP!!

Vato

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2009
Posts
249
Reaction score
139
..hivi wakuu haya makampuni yetu ya ulinzi yanamchaji client bei gani mathalani kama wakimpa full time mlinzi 1 wakulinda nyumba au ofisi?? Taja kampuni na bei yake na kama inawezekana comment na ubora wa walinzi wenyewe.
 
Omega Nitro (T) Ltd
Tanzania
Mikocheni B
Plot 342
Off TPDC / Garden Road
Dar es Salaam
Tanzania
Contact Details
Tel: +255 222 772060
Fax:+255 222 772060
embu wacheki hao uwaulize
 
..hivi wakuu haya makampuni yetu ya ulinzi yanamchaji client bei gani mathalani kama wakimpa full time mlinzi 1 wakulinda nyumba au ofisi?? Taja kampuni na bei yake na kama inawezekana comment na ubora wa walinzi wenyewe.

Mkuu haya makampuni huwa chaji zao haziko flat, yaani inategemea na aina ya mteja, mali na siraha itakayo tumika

- Kampuni kama za kk Guard na Ulitimate security ndo makampuni yanayo ongoza kwa kuchaji ghali. Ila chaji zinategemea na

1. AINA YA MTEJA.
2. MALI ALIZO NAZO MTEJA.
3. AINA YA SILAHA ITAKAYO TUMIKA KULINDA HAPO.
4. Muda wa mlinzi kuwepo sehemu ya kazi, kama ni 24 hours au 12

kama watatumia bunduki kukulinda uje chaji yake itakuwa si sawa na ya kulinda na lungu,
na pamoja na kutumia bunduki vilevile wanaangalia kiasi cha mali ulicho nacho, kama wanakulinda nyumbani kwako na bunduki ni tofauti watakavyo chaji wakilinda benki na bunduki au wakilinda magodown makubwa.
 
Nenda pale Victoria kuna Mbwa wanauzwaga pale, gharama zake ni matunzo tu.
Mambo ya kuamini walinzi usiyafagilie sana, wengine ndio haohao wachora misheni.
 
Nenda pale Victoria kuna Mbwa wanauzwaga pale, gharama zake ni matunzo tu.
Mambo ya kuamini walinzi usiyafagilie sana, wengine ndio haohao wachora misheni.

Haha poa, ingekuwa nyumbani sawa bt ni kwa ajili ya ofisi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…