rajshar
Member
- Oct 2, 2014
- 59
- 5
Nilisaga unga wa mbegu za mlonge. Nikaweka kijiko kimoja kwenye chai siku ya kwanza, tumbo langu harikua poa siku hyo niliarish kidogo. Siku iliyofuata ikawa hvyo hvyo. Sasa ndo nilikua natoa takataka za tumbona au inanidhuru. Msaada maana nimeacha kabisa kuitumia.