MbeguNilisaga unga wa mbegu za mlonge. Nikaweka kijiko kimoja kwenye chai siku ya kwanza, tumbo langu harikua poa siku hyo niliarish kidogo. Siku iliyofuata ikawa hvyo hvyo. Sasa ndo nilikua natoa takataka za tumbona au inanidhuru. Msaada maana nimeacha kabisa kuitumia.
Mbegu
- Mbegu za mti wa Moringa ni kinga dhidi ya vijidudu (bacteria) wasababishao magonjwa na kuathiri ngozi.
- Pia mbegu hutuminka katika kusafisha au kuchuja maji ambapo zikipondwa na kuwekwa kwenye maji yenye tope au machafu husababisha uchafu kujikusanya na kuzama chini kisha kuacha maji yakiwa safi na salama kwa kupikia au kunywa baada ya kuchemsha.
Sasa wewe kuharisha ndio umeogopa? Si ulikuwa unatoa uchafu ulioko tumboni mwako Mkuu.@rajshar