Msaada University of Arusha

Msaada University of Arusha

Special Jay

New Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
1
Reaction score
0
mimi ni miongoni mwa wanafunzi waliochaguliwa chuo hicho lakini mpaka sasa sijafahamu ni siku gani hasa tunatakiwa kuripoti chuoni maana nikiangalia katika website yao sijaona taarifa rasmi ya kulipoti chuoni.Kama kuna yeyote aliyepata kufahamu lolote juu ya jambo hilo naomba anijuze na kama kuna chochote cha kunifahamisha kuhusu chuoni hapo naomba asisite kunipasha habari...thespecialjay@hotmail.com:help:
 
Hapo ni lazima usome bible sasa kama wewe ni al shaabab utakoma.
 
Back
Top Bottom