P Accountant
JF-Expert Member
- Sep 26, 2020
- 371
- 183
Mkuu kama una hayo majina ya waliochaguliwa UDOM bila multiple nisaidieWakuu,
Nahitaji msaada wenu, namna ya ku unconfirm selection kwa chuo cha DODOMA kama tayari umesha confirm tayari.
Nawasilisha.
We ndiyo basi tene, nsni aliyekuambia uharskishe kubonyeza hixho kitufe, au ulifikia hicho kitufe cha kuchezea? Watoyo msma Samia bwanaaaa, we nenda tu ukasomeWakuu,
Nahitaji msaada wenu, namna ya ku unconfirm selection kwa chuo cha DODOMA kama tayari umesha confirm tayari.
Nawasilisha.
Unataka unconfirm kwasababu ni cha KATAWakuu,
Nahitaji msaada wenu, namna ya ku unconfirm selection kwa chuo cha DODOMA kama tayari umesha confirm tayari.
Nawasilisha.
Vijana wanachezea vitufe sana sikuiziWe ndiyo basi tene, nsni aliyekuambia uharskishe kubonyeza hixho kitufe, au ulifikia hicho kitufe cha kuchezea? Watoyo msma Samia bwanaaaa, we nenda tu ukasome
Msaidie ,ila sidhan kam ataweza...Hamna namna, you are fckd!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji119][emoji119]Daah!Unataka unconfirm kwasababu ni cha KATA
Kijana atakuw kaambiw ni cha KATA so anakikimbia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji119][emoji119]Daah!