Nunua piston 4 maana piston tatu hazina nguvu sana na zina tatizo la kutikisika engine gari ikiwa imesimama imewasha mfano kwenye foleni.Bandugu amani na iwe nanyi,
Ninaomba ufafanuzi wa gari aina ya Toyota Passo
Ninatarajia kununua gari dogo kwa ajili ya safari fupi fupi, kuendea sokoni na kanisani, kwa makadirio weekly inaweza tembea 10 kmts
Kutokana na hali ya uchumi nimeona gari ambayo naimudu bila kuadhiri budget ni Toyota Passo,
ninaomba ufaafanuzi kwa wamiliki/waliowahimiliki kuhusu ubora wake, upatikanaji wa spea zake na matatizo yake ni nini naona kuna zenye cc 990 piston 3 na cc 1300 piston 4
Kwa maoni yako ni ipi unadhani ni bora?
Wasalaaam
Kwa Piston 3 sikushauri,Bandugu amani na iwe nanyi,
Ninaomba ufafanuzi wa gari aina ya Toyota Passo
Ninatarajia kununua gari dogo kwa ajili ya safari fupi fupi, kuendea sokoni na kanisani, kwa makadirio weekly inaweza tembea 10 kmts
Kutokana na hali ya uchumi nimeona gari ambayo naimudu bila kuadhiri budget ni Toyota Passo,
ninaomba ufaafanuzi kwa wamiliki/waliowahimiliki kuhusu ubora wake, upatikanaji wa spea zake na matatizo yake ni nini naona kuna zenye cc 990 piston 3 na cc 1300 piston 4
Kwa maoni yako ni ipi unadhani ni bora?
Wasalaaam
Nimefanya maamuni ya kunua piston 4. Nashukuru kwa ushauri wako ulioongeza uelewa wanguKwa Piston 3 sikushauri,
lasivyo siku ukipata safari ya mkoani tuseme Moshi basi itabidi uwe unaenda unafika Msata unapumzika kwanza kama saa hivi ukipata supu, kisha unaenda tena mpaka korogwe unapumzika tena labda ndio mida ya msosi unaunga hapo hapo, hivyo hivyo mpaka unafika

Sawa Mkuu wangu,Nimefanya maamuni ya kunua piston 4. Nashukuru kwa ushauri wako ulioongeza uelewa wangu
Ubarikiwe