Wakuu naomba kujua kama kuna ukomo wa umri wa tractor zinazoweza kuingizwa nchini. Nimepata tractor moja ambayo imetengenezwa mwaka 1978 lakini bado iko order sana. Je, sheria inasemaje? Asanteni
Mkuu ... tractor ni machinery/equipment ..... hakuna limitation ya mwaka kama magari .... tena havina ushuru kwa sababu ni agricultural equipment .... utalipia only port charges