Msaada: Uombaji wa nafasi za kuchukua diploma ngazi ya afya una awamu ngapi

Msaada: Uombaji wa nafasi za kuchukua diploma ngazi ya afya una awamu ngapi

nuporo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2018
Posts
1,534
Reaction score
3,387
N
nacte.png
aam nilikua napitia katika website ya nacte http://41.93.40.134:8080/noavs/Closed.jsp nimekuta kuna ujumbe wa msisitizo unaosomeka hivi

Kindly be informed that admission cycle for academic year 2019/2020 is officially closed for all Online Applications.

Tunapenda kukutaarifu kwamba zoezi la udahili kwa mwaka wa masomo 2019/2020 limefungwa rasmi kwa kozi zote kwa maombi ya kupitia mtandao.



kwa aliemzoefu na masuala haya ya uombaji nafasi za kuchukua diploma upande wa kozi za afya kuna awamu ngapi za uombaji nafasi??
 
Back
Top Bottom