N nuporo JF-Expert Member Joined Oct 18, 2018 Posts 1,534 Reaction score 3,387 Mar 14, 2019 #1 Naam nilikua napitia katika website ya nacte http://41.93.40.134:8080/noavs/Closed.jsp nimekuta kuna ujumbe wa msisitizo unaosomeka hivi Kindly be informed that admission cycle for academic year 2019/2020 is officially closed for all Online Applications. Tunapenda kukutaarifu kwamba zoezi la udahili kwa mwaka wa masomo 2019/2020 limefungwa rasmi kwa kozi zote kwa maombi ya kupitia mtandao. kwa aliemzoefu na masuala haya ya uombaji nafasi za kuchukua diploma upande wa kozi za afya kuna awamu ngapi za uombaji nafasi??
Naam nilikua napitia katika website ya nacte http://41.93.40.134:8080/noavs/Closed.jsp nimekuta kuna ujumbe wa msisitizo unaosomeka hivi Kindly be informed that admission cycle for academic year 2019/2020 is officially closed for all Online Applications. Tunapenda kukutaarifu kwamba zoezi la udahili kwa mwaka wa masomo 2019/2020 limefungwa rasmi kwa kozi zote kwa maombi ya kupitia mtandao. kwa aliemzoefu na masuala haya ya uombaji nafasi za kuchukua diploma upande wa kozi za afya kuna awamu ngapi za uombaji nafasi??
Mchimba Chumvi JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 2,244 Reaction score 5,500 Mar 14, 2019 #2 Mbili . Intake ya march & September
W Wilson benard Member Joined Jul 29, 2018 Posts 27 Reaction score 10 Oct 22, 2019 #3 Mchimba Chumvi said: Mbili . Intake ya march & September Click to expand... 2