Msaada: Upatikanaji wa Hostel Ardhi university.

g.n.n

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
407
Reaction score
49
Kikubwa ni swala zima la Hostel mm nimechaguliwa pale Bcs Building Economics, so kikubwa nauliza possibility ya kupata hostel kwetu sisi 1st year kama tunaweza kupata, au kama ni vigumu kupata ni wapi tunaweza kupata suitable rooms especially yenye mazingira mazuri ya kujisomea. Nauliza mapema ili kama kuna maandalizi ya Haraka niweze kufanya.
Natanguliza shukran.
 
Daah hata mimi nilikuwa naumiza kichwa sana kwasababu nimepata info za kupata hostel pale ni mtiti kwasababu ya uchache wako. Ngoja tuwasubirie wadau wengine
 
Kikubwa ni swala zima la Hostel mm nimechaguliwa pale Bcs Building Economics, so kikubwa nauliza possibility ya kupata hostel kwetu sisi 1st year kama tunaweza kupata, au kama ni vigumu kupata ni wapi tunaweza kupata suitable rooms especially yenye mazingira mazuri ya kujisomea. Nauliza mapema ili kama kuna maandalizi ya Haraka niweze kufanya.
Natanguliza shukran.

nadhani tutakuwa class moja,ila nimeambiwa kuwa pindi 2takapo enda kufanya usajili ya mwanzoni mwa mwezi October tutakuta majina ya waliopangiwa hostel za ndani yameshabandikwa...so hapo n bahati yako.
Na kutafuta vyumba fanya mapema kama unataka kupanga...eneo la kupangisha kwa wanafunzi wa Ardhi liko Survey pale..na kodi yake ni parefu,so anza mishe mapema na jiandae na mshiko kama unaweka suala la kupangisha kipaumbele.
 
Kikubwa ni swala zima la Hostel mm nimechaguliwa pale Bcs Building Economics, so kikubwa nauliza possibility ya kupata hostel kwetu sisi 1st year kama tunaweza kupata, au kama ni vigumu kupata ni wapi tunaweza kupata suitable rooms especially yenye mazingira mazuri ya kujisomea. Nauliza mapema ili kama kuna maandalizi ya Haraka niweze kufanya.
Natanguliza shukran.

pale survey,chumba na kuafford kwa peke ako ni kesi mie nishaanza tafuta chumba,nakuja LMV
 
hivi hiyo LMV n nini?..mbona naisikia tu.Ila ukiona hujapata chumba mwaka wa kwanza ujue we unagundu kwani mwaka wa kwanza kupata rum la kupangiwa na chuo ni lina uwezekano mkubwa.Survey mostly n wanakaa mwaka wa 3 na 4.
 
Bsc.in Land Mangement and Valuation(LMV)
 
ardhi kupata chumba ni bahati na sibu coz Kuna vitanda 421 vya boys na 340 vya girls so jiulze mnakuja mwaka wa kwanza wangap then ujiongeze,mm nawashaur muwe na idea ya kupanga room na room nzur na Bei nafuu znapatkana ubungo had kibo smtimes had kimara,mitaa ya savei,mpakan,makongo juu na changanyken Kuna room mbaya harafu Bei ghar,kwa mfano room ya elfu 40000 ububgo utaipata savei kwa elfu 70000,mpo
 
Ni ngumu kupata room zaidi jiandae kifikra kuwa utaishi mtaani.
 
kusema kweli total number of students tuliopangiwa Ardhi ha2zidi 1,100.Na pha nasikia hata pale Ardhi hupangwa Mabibo hostel.
 
Jamani nisaidieni kozi gani nzuri pale ardhi!
 
Back
Top Bottom