Kikubwa ni swala zima la Hostel mm nimechaguliwa pale Bcs Building Economics, so kikubwa nauliza possibility ya kupata hostel kwetu sisi 1st year kama tunaweza kupata, au kama ni vigumu kupata ni wapi tunaweza kupata suitable rooms especially yenye mazingira mazuri ya kujisomea. Nauliza mapema ili kama kuna maandalizi ya Haraka niweze kufanya.
Natanguliza shukran.

pale survey,chumba na kuafford kwa peke ako ni kesi mie nishaanza tafuta chumba,nakuja LMV
hivi hiyo LMV n nini?..mbona naisikia tu.Ila ukiona hujapata chumba mwaka wa kwanza ujue we unagundu kwani mwaka wa kwanza kupata rum la kupangiwa na chuo ni lina uwezekano mkubwa.Survey mostly n wanakaa mwaka wa 3 na 4.