Msaada; Upatikanaji wa vibali vya TBS na TFDA kwa bidhaa mbalimbali.

Kig

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
1,076
Reaction score
458
wadau naomba mnipe uzoefu wenu kuhusu namna ya kusajili bidhaa kwenye Shirika la viwango vya ubora wa bidhaa Tanzania (TBS) na Mamlaka ya kudhibiti chakula na dawa Tanzania (TFDA). naomba kujua taratibu zinazotumika, changamoto ninaweza kumbana nazo kwenye mchakato wa kusajili bidhaa yangu, faida na hasara za kusajili au kuto sajili bidhaa yangu. Natanguliza shukrani.
 
Jaribu kuangalia website zao wasome watakua na izo tip

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Unataka kusajili bidhaa gani ?? kwa matumizi gani ?? Toa habari zaidi kwa msaada wa kina !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…