Msaada: Upepo kwenye tyres za gari

Mr. MTUI , karibia katika kila gari imeandikwa size sahihi ya tairi ya hiyo gari itumike pamoja na ujazo wa upepo ( tyre pressure )..Angalia mlangoni kwa dereva ukifungua ile sehemu inayoumana mlango na body utakuta sticker imebandikwa ikionyesha tyre size na pressure ya tyre ya mbele na nyuma kwa unit ya kgf/cm2 unazidisha kwa 14.22 kupata unit ya psi.
 
Shukrani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…