Nimepata tatzo hapa,kwa bahat mbaya mke,amepaka hii dawa mtoto maeneo ambayo. Imekatazazwa kama kichwani,na usoni,ndio gafla ameanza kulia, tumejaribu muogesha sana na maji ndio amepata usingiz na nimeshindwa kwenda kituo cha kariibu cha afya MSaada,je nikisubil hadi Kesho asubh ili nimwahishe hospital itakua na madhara zaod kwa mtoto?
Kunakuwa na tahadhari iwapo dawa itafikia maeneo yasiyotakiwa,he unaweza kusoma ?
Dawa nyingi huhitaji kusafishwa na maji mengi kabla ya kwenda kwa daktari kama hali itaendelea..hivyo unaweza kuwa sahihi.
Ila baada ya kugundua hvyo,ttumemwosha sana na mengi,ndio amenyonya na kulala,ilakin kutokana na changamoto ya muda na eneo naloish sijafanikiwa had I sasa kuweza mpeleka kituo cha afya