Msaada: Usafari wa Dar-Miono unapatikana wapi?

Msaada: Usafari wa Dar-Miono unapatikana wapi?

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
Habari Wakuu?

Nategemea kwenda Miono. Ila sijui usafiri wake kwa jiji la Dar unapatikana wapi? Na nauli ni kiasi gani?

Ahsante sana kwa msaada wenu.
 
G
Habari Wakuu?
Nategemea kwenda Miono .
Ila sijui usafiri wake kwa jiji la Dar unapatikana wapi? Na nauli ni kiasi gani?
Ahsante sana kwa msaada wenu.
Google boss Google....utapata majibu.😆😆😆 Ila ulifika mbezi pale stend hakuna sehemu unavyotaka kwenda ukaikosa😆😏labda tu utakosa gari unapotaka mfano unataka business class Ila ukapata ordinary class..Ila sisi tunaotembeatembea ninavojua miono iko chalinze huko..
 
Habari Wakuu?

Nategemea kwenda Miono. Ila sijui usafiri wake kwa jiji la Dar unapatikana wapi? Na nauli ni kiasi gani?

Ahsante sana kwa msaada wenu.
Mbezi kwenye stand ya daladala
 
Habari Wakuu?

Nategemea kwenda Miono. Ila sijui usafiri wake kwa jiji la Dar unapatikana wapi? Na nauli ni kiasi gani?

Ahsante sana kwa msaada wenu.
TEGETA gari za Bagamoyo ndiko zinakopita, humu JF tunadili na mabasi tu sio gari, kituo cha kwanza Segera au Morogoro.
 
Back
Top Bottom