Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ok, as promised, nimerudi...gonga hii kitu hapa Home | Precision Air, ni dola 80 tu kwenda zenji...ila cheki, kuna pipo zinaitwa uamsho...ziko fasta kwenye kujilipua....ila inauma kusafiri na mwewe kwenda zenji..kozi mixer ikipaa tu, inatua...yani kama dakika 10 from boarding hadi kufika......
ndo mpango mzima wa zenji wangu...yani hapanogi....kwa sie tuliosoma hesabu tunasema, ndege inachora parabola.......................heheheheHahaha dak 10 maana yake ndege inachora upinde wa mvua
ok, as promised, nimerudi...gonga hii kitu hapa Home | Precision Air, ni dola 80 tu kwenda zenji...ila cheki, kuna pipo zinaitwa uamsho...ziko fasta kwenye kujilipua....ila inauma kusafiri na mwewe kwenda zenji..kozi mixer ikipaa tu, inatua...yani kama dakika 10 from boarding hadi kufika......
Wadau nasafari ya kwenda zanzibar mwisho wa mwezi huu(wa 10) na nipo mkoani naomba msaada kujua ndege zinazofanya safari ya kwenda zanzibar na gharama zake,nikipata link za hizo kampuni itakua msaada zaidi.

wacheki hawa jamaa tropical air wana ofisi pale unguja town mkabala na NMB kabisa na bara pia wana ofisi 0754490052, ukitumia speed boti za azam marine inachukua 2 hrs lakini boti mpka uwe dar au mombasa then unapitia pemba ndo uende unguja, safari njema
ujinga mwingine ukifanywa na mtu ambaye hatumii Internet unavumilika ila inashangaza sana mtu ambaye anadhani JF ni zaidi ya Google.
mikoani kuna ndege kweli si zinahesabika tuHivi ni fares za kutoka wapi kwenda Zanzibar?