Msaada usafiri wa ndege kwenda zanzibar

satellite

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
616
Reaction score
170
Wadau nasafari ya kwenda zanzibar mwisho wa mwezi huu(wa 10) na nipo mkoani naomba msaada kujua ndege zinazofanya safari ya kwenda zanzibar na gharama zake,nikipata link za hizo kampuni itakua msaada zaidi.
 
Join Date : 18th November 2010
Location : HOMELAND SECURITY,
nilijua wazee wa security mpo aware na kila kitu.....so u proved me wrong.....nitakuchekia nikwambie, so far najua ni vicharter tu vidogo vidogo......mwanzo kulikuwa na kakampuni kanajiita carovesy...ilikuwa elf themanini...ila kama two years zimepita....
 
ok, as promised, nimerudi...gonga hii kitu hapa Home | Precision Air, ni dola 80 tu kwenda zenji...ila cheki, kuna pipo zinaitwa uamsho...ziko fasta kwenye kujilipua....ila inauma kusafiri na mwewe kwenda zenji..kozi mixer ikipaa tu, inatua...yani kama dakika 10 from boarding hadi kufika......
 
Hahaha dak 10 maana yake ndege inachora upinde wa mvua
 
Duh 10mins!!!! yaani unajiandaa ukae vizuri kwa safari kumbe ndiyo ushafika tena teh teh teh
 
Wadau nasafari ya kwenda zanzibar mwisho wa mwezi huu(wa 10) na nipo mkoani naomba msaada kujua ndege zinazofanya safari ya kwenda zanzibar na gharama zake,nikipata link za hizo kampuni itakua msaada zaidi.

kuna mahali umesema upo mkoa gani mimi ndio sioni au maruweruwe.....?
 
ujinga mwingine ukifanywa na mtu ambaye hatumii Internet unavumilika ila inashangaza sana mtu ambaye anadhani JF ni zaidi ya Google.
 
Thanks mkuu nimeicheki hiyo
 
Wadau nasafari ya kwenda zanzibar mwisho wa mwezi huu(wa 10) na nipo mkoani naomba msaada kujua ndege zinazofanya safari ya kwenda zanzibar na gharama zake,nikipata link za hizo kampuni itakua msaada zaidi.

wacheki hawa jamaa tropical air wana ofisi pale unguja town mkabala na NMB kabisa na bara pia wana ofisi 0754490052, ukitumia speed boti za azam marine inachukua 2 hrs lakini boti mpka uwe dar au mombasa then unapitia pemba ndo uende unguja, safari njema
 
Kaka thanks a lot nimecheki kwenye net hao tropical hope its going to be my choice coz fare yao nimeona ni affordable zaidi
 
ujinga mwingine ukifanywa na mtu ambaye hatumii Internet unavumilika ila inashangaza sana mtu ambaye anadhani JF ni zaidi ya Google.

Matola ukisema hivyo unakua wrong sana JF ndo sehem ambayo unaweza pata majibu ya uhakika zaidi kuliko hata huko google,google is just a collection of many thing pumba na mchele then ww ndo upembue hapa JF wapo maagent na wafanyakazi pia ni sehem rahisi ya kupata details.nimeona matukio mengi yanaanzia jamii forum ndo vyombo vingine wanapata taarifa
 
Coastal na Zan air
Coastal agent wapo nyuma ya Amani Place pia, nadhani ni 50 au 58USD for return tickets
au nenda tu uwanja wa ndege maana ndege zipo kila baada ya saa moja au mbili
 
Hivi ni fares za kutoka wapi kwenda Zanzibar?
 
Hivi ni fares za kutoka wapi kwenda Zanzibar?
mikoani kuna ndege kweli si zinahesabika tu
nafahamu kuna precision zinatoka nairobi kupitia KIA huwa zinakuja Zanzibar ila sio routine
Hizi ni fare kutoka Dar kwenda Zanzibar, mdau inabidi aje hapo kish apande ndege kwenda Zenji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…