Ndugu wanajamvi msaada kwa kipi cha kufanya ili kuweza kufanya usajili wa jarida /magazine.
Nataka kufanya ujasiriamali kwa uzalishaji wa magazine ni nn cha kufanya ili niweze kucomply na kuweza kuingiza sokoni, gharama za compliance pia msaada please