Msaada usajili wa Trademark Brela kipengele cha Nice description

Msaada usajili wa Trademark Brela kipengele cha Nice description

King snr

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
1,165
Reaction score
1,470
Naomba msaada kwenye hii sehemu baada ya kujaza nice class ambayo service yangu imo natakiwa kuweka nice class description
Ni zipi hizo?
Mfano nice class yangu Ni 42

Kwenye nice description naandika nini?

Screenshot_20230102-073636.png
 
Naomba uwapigie simu, watakusaidia.0222212800. Pia kama uko Dar es Salaam, tembelea ofisi zao Brela House, Makao Makuu ya zamani ya Jeshi la Magereza.
 
Back
Top Bottom