Habari wakuu,
Nimepata simu kutoka kwa rafiki yangu akinieleza kuwa mwanae anayetegemea kurisit ameshindwa kupata usajiri kwani kila akijaribu ku-add namba ya mtihani ya shule alyofanyia mtihani inakataa, nikamwambia labda wamekosea namba wakanambia hapana, sikuweza kutoa msaada wowote na ndio nimeamua kuwaeleza wana-education tatizo ni nini? najua walisema mwisho ni tar 30 mwezi huu ila mtoto ameenda kujaza form mchana.