Wakuu nina mpango wa kusajili taasisi ya nusu-biashara ambayo ipo katika muundo wa kufanya
-Training
-Consultancy
-Research
-Auditing
na shughuli zingine katika mnyororo wa uzalishaji mazao kilimo na chakula. Lengo langu ni kutafuta donor na miradi ili kuweza kugharimikia shughuli za taasisi hii. Nimekuja shida katika maaunuzi ya usajir je, nisajiri km NGO (kupitia wizara ya maendelo ya jamii) au business company(kupitia BRELA)? naomba ushauri wakuu
Asanteni