Msaada: Ushauri kuhusu hii mirathi

Kwenye issue za mirathi kama ilijumuishwa hiyo nyumba na ikapita ile miezi mitatu ya pingamizi basi hao hawana chao fukuzeni waende mahakamani wakamfungulie kesi ni mkubwa na yeye awatwange vzr kama watakuwa na vielelezo vyote na nyie andaaeni ile mikataba ya kupangisha ,doc za ujenzi ,mashahidi nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…